Kiampanang

Kiampanang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waampanang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiampanang imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiampanang iko katika kundi la Kibarito.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search